Nehemiah 5:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zaidi ya hayo, kila siku niliwalisha watu 150, wakiwamo Wayahudi na maofisa, mbali na wale watu waliotujia toka mataifa jirani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zaidi ya hayo, Wayahudi na maafisa mia moja na hamsini walikula mezani pangu, pamoja na wale waliotujia kutoka mataifa jirani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pamoja na hayo wakawako mezani pangu, katika Wayahudi na mashehe, watu mia na hamsini, zaidi ya wale waliotujia kutoka kwa makafiri waliotuzunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zaidi ya hayo, kila siku niliwalisha watu 150, wakiwamo Wayahudi na maofisa, mbali na wale watu waliotujia toka mataifa jirani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zaidi ya hayo, Wayahudi 150 na maafisa walikula mezani pangu, pamoja na wale waliotujia kutoka mataifa jirani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zaidi ya hayo, Wayahudi na maafisa 150 walikula mezani pangu, pamoja na wale waliotujia kutoka mataifa jirani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pamoja na hayo wakawako mezani pangu, katika Wayahudi na maofisa, watu mia moja na hamsini, zaidi ya wale waliotujia kutoka kwa mataifa yaliotuzunguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zaidi ya hayo, kila siku niliwalisha watu 150, wakiwamo Wayahudi na maofisa, mbali na wale watu waliotujia toka mataifa jirani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena mezani pangu wakala Wayuda na wakuu, watu 150, nao waliokuja kwetu wakitoka kwa wamizimu wanaokaa na kutuzunguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pamoja na hayo wakawako mezani pangu, katika Wayahudi na mashehe, watu mia na hamsini, zaidi ya wale waliotujia kutoka kwa makafiri waliotuzunguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaidi ya hayo, kila siku niliwakulisha watu mia moja na makumi tano, kati yao kukiwa Wayuda na wakubwa zaidi ya wale watu waliotufikia toka mataifa jirani.