Nehemiah 5:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulitokea waliosema, “Tafadhali tupatie nafaka tule ili tuweze kuishi kwa kuwa sisi, wana wetu na binti zetu tu wengi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi yao walikuwa wakisema, “Sisi na wana wetu wa kiume na wa kike tuko wengi. Ili tuweze kula na kuishi, ni lazima tupate nafaka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, walikuwako watu waliosema, Sisi, na wana wetu na binti zetu, tu wengi; na tupate ngano, tule, tukaishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulitokea waliosema, “Tafadhali tupatie nafaka tule ili tuweze kuishi kwa kuwa sisi, wana wetu na binti zetu tu wengi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi yao walikuwa wakisema, “Sisi na wana wetu na binti zetu tu wengi, ili tuweze kula na kuishi, ni lazima tupate nafaka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi yao walikuwa wakisema, “Sisi na wana wetu na binti zetu tuko wengi. Ili tuweze kula na kuishi, ni lazima tupate nafaka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, walikuwako watu waliosema, Sisi, na wana wetu na binti zetu, tu wengi; na tupate ngano, tule, tukaishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulitokea waliosema, “Tafadhali tupatie nafaka tule ili tuweze kuishi kwa kuwa sisi, wana wetu na binti zetu tu wengi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawako waliosema: Sisi wana wetu wa kiume na wa kike ni wengi, sharti tupate ngano, tule, tusife.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, walikuwako watu waliosema, Sisi, na wana wetu na binti zetu, tu wengi; na tupate ngano, tule, tukaishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kukatokea waliosema: “Tafazali mutupatie ngano tukule kusudi tuweze kuishi kwa sababu sisi, wana wetu na wabinti zetu tuko wengi.”