Nehemiah 5:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na wengine wakalalamika, “Tumeweka rehani mashamba yetu, mizabibu yetu hata na nyumba zetu ili kupata nafaka kwa sababu ya njaa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengine walikuwa wakisema, “Tunaweka rehani mashamba yetu, mashamba ya mizabibu, na nyumba zetu ili tupate nafaka wakati wa njaa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena walikuwako wengine waliosema, Tumeweka rehani mashamba yetu, na mizabibu yetu, na nyumba zetu; tupate ngano, kwa sababu ya njaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na wengine wakalalamika, “Tumeweka rehani mashamba yetu, mizabibu yetu hata na nyumba zetu ili kupata nafaka kwa sababu ya njaa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengine walikuwa wakisema, “Tunaweka rehani mashamba yetu, mashamba ya mizabibu na nyumba zetu ili tupate nafaka wakati wa njaa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengine walikuwa wakisema, “Tunaweka rehani mashamba yetu, mashamba ya mizabibu, na nyumba zetu ili tupate nafaka wakati wa njaa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena walikuwako wengine waliosema, Tumeweka rehani mashamba yetu, na mizabibu yetu, na nyumba zetu; tupate ngano, kwa sababu ya njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na wengine wakalalamika, “Tumeweka rehani mashamba yetu, mizabibu yetu hata na nyumba zetu ili kupata nafaka kwa sababu ya njaa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walikuwako nao wengine waliosema: Mashamba yetu na mizabibu yetu na nyumba zetu hatuna budi kuzitoa kuwa rehani, tupate ngano katika njaa hii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena walikuwako wengine waliosema, Tumeweka rehani mashamba yetu, na mizabibu yetu, na nyumba zetu; tupate ngano, kwa sababu ya njaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wengine wakalalamika: “Tumeweka rehani mashamba yetu, mizabibu yetu hata na nyumba zetu kwa kupata ngano kwa sababu ya njaa.”