Nehemiah 5:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena kukawa na hata wale, waliolalamika, wakisema, “Ili kulipa kodi ya mfalme juu ya mashamba na mizabibu yetu, ilitubidi tukope fedha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bado kukawa na wengine waliokuwa wakisema, “Ilitubidi tukope fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa ajili ya mashamba yetu na mashamba yetu ya mizabibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena walikuwako wengine waliosema, Tumekopa fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa kuweka rehani mashamba yetu, na mizabibu yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena kukawa na hata wale, waliolalamika, wakisema, “Ili kulipa kodi ya mfalme juu ya mashamba na mizabibu yetu, ilitubidi tukope fedha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bado kukawa na wengine waliokuwa wakisema, “Ilitubidi tukope fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa ajili ya mashamba yetu na mashamba yetu ya mizabibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bado kukawa na wengine waliokuwa wakisema, “Ilitubidi tukope fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa ajili ya mashamba yetu na mashamba yetu ya mizabibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena walikuwako wengine waliosema, Tumekopa fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa kuweka rehani mashamba yetu, na mizabibu yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena kukawa na hata wale, waliolalamika, wakisema, “Ili kulipa kodi ya mfalme juu ya mashamba na mizabibu yetu, ilitubidi tukope fedha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena walikuwako wengine waliosema: Tumeyatoa mashamba yetu na mizabibu yetu tulipokopa fedha za kulipa kodi ya mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena walikuwako wengine waliosema, Tumekopa fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa kuweka rehani mashamba yetu, na mizabibu yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena kukakuwa hata wale, waliolalamika, wakisema: “Kwa kulipa kodi ya mufalme juu ya mashamba na mizabibu yetu, tulipaswa kukopesha feza.