Nehemiah 5:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikaamua kuchukua hatua. Nikawashutumu wakuu na maofisa, nikawaambia, “Mnawatoza riba ndugu zenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikayatafakari katika akili yangu, nikiwalaumu wakuu na maafisa. Nikawaambia, “Mnawaonea ndugu zenu kwa kuwatoza riba!” Basi nikaita mkutano mkubwa ili kukabiliana nao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikafanya shauri na nafsi yangu, nikagombana na wakuu na mashehe, nikawaambia, Mnatoza watu riba, kila mtu ndugu yake. Nikakutanisha mkutano mkubwa ili kushindana nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikaamua kuchukua hatua. Nikawashutumu wakuu na maofisa, nikawaambia, “Mnawatoza riba ndugu zenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikayatafakari katika akili yangu, nikiwalaumu wakuu na maafisa. Nikawaambia, “Mnawaonea ndugu zenu kwa kuwatoza riba!” Basi nikaitisha mkutano mkubwa ili kuwashughulikia
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikayatafakari katika akili yangu, nikiwalaumu wakuu na maafisa. Nikawaambia, “Mnawaonea ndugu zenu kwa kuwatoza riba!” Basi nikaitisha mkutano mkubwa ili kuwashughulikia
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikafanya shauri na nafsi yangu, nikagombana na wakuu na maofisa, nikawaambia, Nyote mnatoza watu riba, mtu na ndugu yake. Nikakutanisha mkutano mkubwa ili kukabiliana nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikaamua kuchukua hatua. Nikawashutumu wakuu na maofisa, nikawaambia, “Mnawatoza riba ndugu zenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikapiga shauri moyoni, nikawagombeza wakuu wa miji na watawalaji nikiwaambia: Ninyi mnawachuuzia vibaya, kila mtu na ndugu yake. Nikawakusanya kuwa mkutano mkubwa na kuteteana nao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikafanya shauri na nafsi yangu, nikagombana na wakuu na mashehe, nikawaambia, Mnatoza watu riba, kila mtu ndugu yake. Nikakutanisha mkutano mkubwa ili kushindana nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikaamua kukamata hatua. Nikawaonya wakubwa na wasimamizi, nikawaambia: “Munawatesa wandugu zenu.”