Nehemiah 6:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikuwa amekodishwa kunitishia nami nifanye dhambi. Na kwa njia hii wangepata mwanya wa kuniharibia jina langu ili kushusha hadhi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alikuwa ameajiriwa kunitisha ili kwa kufanya jambo hili nitende dhambi, kisha waweze kuniharibia jina langu na kuniaibisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hii aliajiriwa, ili mimi niogope, nikafanye hivyo na kutenda dhambi, kisha wao wawe nazo habari mbaya, ili wanishutumie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikuwa amekodishwa kunitishia nami nifanye dhambi. Na kwa njia hii wangepata mwanya wa kuniharibia jina langu ili kushusha hadhi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa ameajiriwa kunitisha ili kwa kufanya jambo hili nitende dhambi, kisha waweze kuniharibia jina langu na kuniaibisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikuwa ameajiriwa kunitisha ili kwa kufanya jambo hili nitende dhambi, kisha waweze kuniharibia jina langu na kuniaibisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hii aliajiriwa, ili mimi niogope, nikafanye hivyo na kutenda dhambi, kisha wao wawe nazo habari mbaya, ili wanishutumie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikuwa amekodishwa kunitishia nami nifanye dhambi. Na kwa njia hii wangepata mwanya wa kuniharibia jina langu ili kushusha hadhi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alipenyezewa mali, kusudi niingiwe na woga, niyafanye hayo ya kumkosea Mungu, wapate kulitokeza jina langu kuwa baya, wanitukane.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hii aliajiriwa, ili mimi niogope, nikafanye hivyo na kutenda dhambi, kisha wao wawe nazo habari mbaya, ili wanishutumie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa amelipwa kwa kunitisha kusudi nifanye zambi. Na kwa njia hii wangepata njia ya kuchafua jina langu kwa kunishushia heshima yangu.