Nehemiah 6:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, ukuta ulikamilika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli; nayo ilichukua muda wa siku hamsini na mbili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano mwezi wa Eluli; kazi ilichukua siku hamsini na mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi huo ukuta ukamalizika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli, katika muda wa siku hamsini na mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, ukuta ulikamilika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli; nayo ilichukua muda wa siku hamsini na mbili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano mwezi wa Eluli, kazi ambayo ilichukua siku hamsini na mbili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano mwezi wa Eluli, kazi ambayo ilichukua siku hamsini na mbili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi huo ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli, katika muda wa siku hamsini na mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, ukuta ulikamilika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli; nayo ilichukua muda wa siku hamsini na mbili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Boma likamalizika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli kwa siku hamsini na mbili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi huo ukuta ukamalizika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli, katika muda wa siku hamsini na mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, ukuta ikamalizika siku ya makumi mbili na tano ya mwezi wa Eluli; nayo ilidumu muda wa siku makumi tano na mbili.