Nehemiah 6:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huu wote, viongozi wa Wayahudi walikuwa wakiandikiana na Tobia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia katika siku hizo wakuu wa Yuda walikuwa wakituma barua nyingi kwa Tobia, nayo majibu yaliyotoka kwa Tobia yaliendelea kuwajia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena siku zile wakuu wa Yuda walimletea Tobia nyaraka nyingi, nazo nyaraka za Tobia zikawafikilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huu wote, viongozi wa Wayahudi walikuwa wakiandikiana na Tobia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia, katika siku hizo wakuu wa Yuda walikuwa wakituma barua nyingi kwa Tobia, nayo majibu yaliyotoka kwa Tobia yaliendelea kuwajia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia katika siku hizo wakuu wa Yuda walikuwa wakituma barua nyingi kwa Tobia, nayo majibu yaliyotoka kwa Tobia yaliendelea kuwajia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena siku zile wakuu wa Yuda walimtumia nyaraka nyingi Tobia nazo nyaraka za Tobia ziliwafikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huu wote, viongozi wa Wayahudi walikuwa wakiandikiana na Tobia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena katika siku hizo, walikuwako wakuu wa miji ya Wayuda waliompelekea Tobia barua nyingi, nazo za Tobia zikafika kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena siku zile wakuu wa Yuda walimletea Tobia nyaraka nyingi, nazo nyaraka za Tobia zikawafikilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule wote, viongozi wa Wayuda walikuwa wakiandikiana na Tobia.