Nehemiah 6:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia wakanisimulia matendo mema ya Tobia, na habari zangu wakawa wanampelekea. Naye akawa ananiandikia barua ili kunitisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zaidi ya hayo, walikuwa wakiniarifu jinsi Tobia alivyo mtu mwema, nao walimwambia kila kitu nilichosema. Naye Tobia alituma barua za kunitisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena waliyanena mema yake mbele yangu, nayo maneno yangu humwambia yeye. Tobia naye akaniletea mimi nyaraka za kuniogofisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia wakanisimulia matendo mema ya Tobia, na habari zangu wakawa wanampelekea. Naye akawa ananiandikia barua ili kunitisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zaidi ya hayo walikuwa wakiniarifu jinsi Tobia alivyo mtu mwema, nao walimwambia kila kitu nilichosema. Naye Tobia alituma barua za kunitisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zaidi ya hayo, walikuwa wakiniarifu jinsi Tobia alivyo mtu mwema, nao walimwambia kila kitu nilichosema. Naye Tobia alituma barua za kunitisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena waliyanena mema yake mbele yangu, na kumwambia maneno yangu. Tobia naye akaniletea mimi nyaraka za kuniogofya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia wakanisimulia matendo mema ya Tobia, na habari zangu wakawa wanampelekea. Naye akawa ananiandikia barua ili kunitisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nami wakanisimulia mambo yake mema, nayo niliyoyasema wakamtolea. Hata Tobia mwenyewe akatuma kwangu barua za kuniogopesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena waliyanena mema yake mbele yangu, nayo maneno yangu humwambia yeye. Tobia naye akaniletea mimi nyaraka za kuniogofisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile wakanielezea matendo mema ya Tobia, na wakakuwa wanamupelekea habari zangu. Naye akakuwa ananiandikia barua kwa kunitisha.