Nehemiah 6:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sanbalati na Geshemu walituma ujumbe kwangu wakisema, “Na tukutane kwenye kijiji kimojawapo cha tambarare ya Ono.” Lakini walikusudia kunidhuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sanbalati na Geshemu wakanitumia ujumbe huu: “Njoo, tukutane katika mojawapo ya vijiji katika nchi tambarare ya Ono.” Lakini walikuwa wakikusudia kunidhuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sanbalati na Geshemu wakatuma wajumbe kwangu, wakasema, Njoo, tukutane huko vijijini katika nchi tambarare ya Ono. Walakini wakakusudi kunifanyia mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sanbalati na Geshemu walituma ujumbe kwangu wakisema, “Na tukutane kwenye kijiji kimojawapo cha tambarare ya Ono.” Lakini walikusudia kunidhuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sanbalati na Geshemu wakanipelekea ujumbe huu: “Njoo, tukutane katika mojawapo ya vijiji katika nchi tambarare ya Ono.” Lakini walikuwa wakikusudia kunidhuru,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sanbalati na Geshemu wakanitumia ujumbe huu: “Njoo, tukutane katika mojawapo ya vijiji katika nchi tambarare ya Ono.” Lakini walikuwa wakikusudia kunidhuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sanbalati na Geshemu wakatuma wajumbe kwangu, wakasema, Njoo, tukutane huko vijijini katika nchi tambarare ya Ono. Lakini wakakusudia kunifanyia mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sanbalati na Geshemu walituma ujumbe kwangu wakisema, “Na tukutane kwenye kijiji kimojawapo cha tambarare ya Ono.” Lakini walikusudia kunidhuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Sanibalati na Gesemu walipotuma kwangu kwamba: Njoo, tukutane pamoja penye vijiji vilivyomo bondeni kwa Ono! Kwani waliwaza kunifanyizia mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sanbalati na Geshemu wakatuma wajumbe kwangu, wakasema, Njoo, tukutane huko vijijini katika nchi tambarare ya Ono. Walakini wakakusudi kunifanyia mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sanibalati na Gesemi wakatuma ujumbe kwangu wakisema: “Tukutane kwenye kijiji kimoja katika bonde la Ono.” Lakini walikusudia kunizuru.