Nehemiah 6:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nikawapelekea wajumbe, nikisema, “Kazi ninayoifanya ni muhimu sana. Hivyo siwezi kuja kwenu ili kazi isije ikasimama.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo niliwatuma wajumbe kwao na majibu haya: “Kazi ninayoifanya ni kubwa sana, siwezi kuja. Kwa nini niiache kazi isimame nije kwenu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mimi nikatuma wajumbe kwao, nikasema, Hii ni kazi kubwa ninayoifanya mimi, hata nisiweze kushuka; mbona kazi ikome, hapo ninapoiacha, niwashukie?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nikawapelekea wajumbe, nikisema, “Kazi ninayoifanya ni muhimu sana. Hivyo siwezi kuja kwenu ili kazi isije ikasimama.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa hiyo niliwatuma wajumbe kwao na majibu haya: “Kazi ninayoifanya ni kubwa sana siwezi kuja. Kwa nini niiache kazi isimame nije kwenu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo niliwatuma wajumbe kwao na majibu haya: “Kazi ninayoifanya ni kubwa sana, siwezi kuja. Kwa nini niiache kazi isimame nije kwenu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mimi nikatuma wajumbe kwao, nikasema, Hii ni kazi kubwa ninayoifanya mimi, siwezi kushuka, kwa nini niwashukie na hapo kazi isimame?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nikawapelekea wajumbe, nikisema, “Kazi ninayoifanya ni muhimu sana. Hivyo siwezi kuja kwenu ili kazi isije ikasimama.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikatuma wajumbe kwao kwamba: Mimi nina kazi kubwa ya kuifanya, kwa hiyo siwezi kushuka. Mbona niiache kazi hii, ikome, nikishuka kuja kwenu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mimi nikatuma wajumbe kwao, nikasema, Hii ni kazi kubwa ninayoifanya mimi, hata nisiweze kushuka; mbona kazi ikome, hapo ninapoiacha, niwashukie?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nikawatumia wajumbe, nikisema: “Kazi ninayoifanya ni ya lazima sana. Hivyo siwezi kufika kwenu kusudi kazi isipate kusimama.”