Nehemiah 6:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliendelea kunitaka niende kwao mara nne, lakini nikawapa jibu lilelile.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walinitumia ujumbe huo huo mara nne, na kila mara nikawapa jibu lile lile.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakaniletea maneno kama hayo mara nne; nikawajibu maneno kama yale.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliendelea kunitaka niende kwao mara nne, lakini nikawapa jibu lilelile.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara nne walinitumia ujumbe wa namna iyo hiyo na kila mara niliwapa jibu lile lile.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara nne walinitumia ujumbe wa namna iyo hiyo, na kila mara niliwapa jibu lile lile.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakaniletea mwito huo mara nne; nikawajibu maneno yale yale.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliendelea kunitaka niende kwao mara nne, lakini nikawapa jibu lilelile.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakatuma kwangu kama mara nne kuniambia maneno yayo hayo, nami nikawajibu yayo hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakaniletea maneno kama hayo mara nne; nikawajibu maneno kama yale.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaendelea kunitumia ujumbe uleule mara ine, lakini nikawapa jibu lilelile.