Nehemiah 6:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, mara ya tano, Sanbalati akamtuma msaidizi wake kwangu akiwa na ujumbe ule ule, naye alikuwa amechukua mkononi mwake barua isiyofungwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Sanbalati akamtuma kwangu mtumwa wake vile vile mara ya tano, na barua wazi mkononi mwake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi, mara ya tano, Sanbalati akamtuma msaidizi wake kwangu akiwa na ujumbe wa aina ile ile, naye alikuwa amechukuwa mkononi mwake barua isiyofungwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi, mara ya tano, Sanbalati akamtuma msaidizi wake kwangu akiwa na ujumbe wa aina ile ile, naye alikuwa amechukua mkononi mwake barua isiyofungwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Sanbalati akamtuma kwangu mtumishi wake vile vile mara ya tano, na barua wazi mkononi mwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara ya tano, Sanbalati akanitumia barua ya hadhara kwa njia ya mjumbe wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Sanibalati akatuma kijana wake kwangu mara ya tano kuniambia yayo hayo, hata barua iliyo wazi ilikuwa mkononi mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Sanbalati akamtuma kwangu mtumwa wake vile vile mara ya tano, na barua wazi mkononi mwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mara ya tano, Sanibalati akanitumia barua yenye kuwa wazi kwa njia ya mujumbe wake.