Nehemiah 6:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ili kuthibitisha wazo lako, umejiwekea manabii mjini Yerusalemu ili watangaze kuwa ‘Kuna mfalme katika nchi ya Yuda’. Taarifa hii ataarifiwa mfalme Artashasta. Hivyo nashauri wewe na mimi tukutane na kuzungumzia jambo hili.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na hata umewateua manabii wafanye tangazo hili kukuhusu huko Yerusalemu: ‘Yuko mfalme katika Yuda!’ Sasa taarifa hii itarudishwa kwa mfalme. Basi njoo, tufanye shauri pamoja.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe umewaweka manabii ili wakuhubirie huko Yerusalemu, kusema, Yuko mfalme katika Yuda; basi sasa ataarifiwa mfalme sawasawa na maneno haya. Njoo sasa basi, na tufanye shauri pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ili kuthibitisha wazo lako, umejiwekea manabii mjini Yerusalemu ili watangaze kuwa ‘Kuna mfalme katika nchi ya Yuda’. Taarifa hii ataarifiwa mfalme Artashasta. Hivyo nashauri wewe na mimi tukutane na kuzungumzia jambo hili.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na hata umewateua manabii wafanye tangazo hili kukuhusu wewe huko Yerusalemu: ‘Yuko mfalme katika Yuda!’ Sasa taarifa hii itarudishwa kwa mfalme; basi njoo, tufanye shauri pamoja.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na hata umewateua manabii wafanye tangazo hili kukuhusu wewe huko Yerusalemu: ‘Yuko mfalme katika Yuda!’ Sasa taarifa hii itarudishwa kwa mfalme. Basi njoo, tufanye shauri pamoja.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe umewaweka manabii ili wakuhubirie huko Yerusalemu kwa kusema, Yuko mfalme katika Yuda; basi sasa mfalme ataarifiwa mambo haya, Basi sasa, njoo ili tushauriane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ili kuthibitisha wazo lako, umejiwekea manabii mjini Yerusalemu ili watangaze kuwa ‘Kuna mfalme katika nchi ya Yuda’. Taarifa hii ataarifiwa mfalme Artashasta. Hivyo nashauri wewe na mimi tukutane na kuzungumzia jambo hili.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umeweka hata wafumbuaji, wakutangaze mle Yerusalemu kwamba: Huyu ni mfalme katika nchi ya Yuda! Maneno kama hayo mfalme naye atasimuliwa, kwa hiyo njoo sasa, tupige shauri pamoja!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe umewaweka manabii ili wakuhubirie huko Yerusalemu, kusema, Yuko mfalme katika Yuda; basi sasa ataarifiwa mfalme sawasawa na maneno haya. Njoo sasa basi, na tufanye shauri pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kuhakikisha wazo lako, umejiwekea manabii katika Yerusalema kusudi watangaze kwamba kuna mufalme katika inchi ya Yuda. Maneno haya yataelezwa kwa mufalme Artasasta. Hivyo ninashauri kwamba wewe na mimi tukutane na kuzungumuzia jambo hili.