Nehemiah 6:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nikampelekea ujumbe: “Hakuna jambo kama hilo. Habari hizo umezibuni wewe mwenyewe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilimpelekea jibu hili: “Hakuna jambo kama hilo unalosema linalofanyika. Unalitunga tu kwenye kichwa chako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mimi nikatuma kwake wajumbe, kusema, Hakukufanyika mambo kama hayo uyasemayo, lakini kwa moyo wako wewe mwenyewe umeyabuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nikampelekea ujumbe: “Hakuna jambo kama hilo. Habari hizo umezibuni wewe mwenyewe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilimpelekea jibu hili: “Hakuna jambo kama hilo unalosema linalofanyika; unalitunga tu kwenye kichwa chako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilimpelekea jibu hili: “Hakuna jambo kama hilo unalosema linalofanyika. Unalitunga tu kwenye kichwa chako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mimi nikatuma kwake wajumbe, kusema, Hakukufanyika mambo kama hayo uyasemayo, lakini kwa moyo wako wewe mwenyewe umeyabuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nikampelekea ujumbe: “Hakuna jambo kama hilo. Habari hizo umezibuni wewe mwenyewe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikatuma kwake kwamba: Mambo kama hayo, unayoyasema wewe, hayakufanyika, ila wewe unayatunga mwenyewe moyoni mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mimi nikatuma kwake wajumbe, kusema, Hakukufanyika mambo kama hayo uyasemayo, lakini kwa moyo wako wewe mwenyewe umeyabuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nikamutumia jibu: “Hakuna jambo kama hilo. Habari hizo umezitunga wewe mwenyewe.”