Nehemiah 7:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya ukuta kukamilika, malango yote kuwa tayari, na kuteuliwa kwa walinzi, waimbaji na Walawi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya ukuta kukamilika kujengwa upya na nikaweka milango, mabawabu wa lango, waimbaji, na Walawi waliteuliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, hapo ukuta ulipojengwa, na milango nimekwisha kuisimamisha, na mabawabu, na waimbaji, na Walawi, wamewekwa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya ukuta kukamilika, malango yote kuwa tayari, na kuteuliwa kwa walinzi, waimbaji na Walawi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya ukuta kukamilika kujengwa upya na kuweka milango, waliteuliwa mabawabu wa lango, waimbaji na Walawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya ukuta kukamilika kujengwa upya na nikaweka milango, mabawabu wa lango, waimbaji, na Walawi waliteuliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, baada ya ukuta kujengwa, na milango kusimamishwa na kuweka mabawabu, waimbaji na Walawi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya ukuta kukamilika, malango yote kuwa tayari, na kuteuliwa kwa walinzi, waimbaji na Walawi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, boma lilipokwisha kujengwa, nikatia milango, wakawekwa walinda malango na waimbaji na Walawi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, hapo ukuta ulipojengwa, na milango nimekwisha kuisimamisha, na mabawabu, na waimbaji, na Walawi, wamewekwa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya ukuta kumalizika, milango yote kuwa tayari, na kuchaguliwa kwa walinzi wa milango, waimbaji na Walawi,