Nehemiah 7:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wa ukoo wa Ateri (ambao pia unaitwa Hezekia): 98;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wazao wa Ateri (kupitia Hezekia), tisini na nane (98);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Ateri, wa Hezekia, tisini na wanane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wa ukoo wa Ateri (ambao pia unaitwa Hezekia): 98;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) — 98
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 98
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Ateri, wa Hezekia, tisini na wanane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wa ukoo wa Ateri (ambao pia unaitwa Hezekia): 98;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wana wa Ateri walio wa Hizikia 98;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Ateri, wa Hezekia, tisini na wanane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ukoo wa Ateri (ambao vilevile unaitwa Hezekia): makumi kenda na wanane;