Nehemiah 7:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa miji ifuatayo pia walirudi: Wa mji wa Bethlehemu na Netofa: 188;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
watu wa Bethlehemu na Netofa, mia moja na themanini na nane (188);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wa Bethlehemu na Netofa, mia na themanini na wanane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa miji ifuatayo pia walirudi: wa mji wa Bethlehemu na Netofa: 188;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
watu wa Bethlehemu na Netofa — 188
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
watu wa Bethlehemu na Netofa 188
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wa Bethlehemu na Netofa, mia moja na themanini na wanane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa miji ifuatayo pia walirudi: Wa mji wa Bethlehemu na Netofa: 188;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
waume wa Beti-Lehemu na wa Netofa 188;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wa Bethlehemu na Netofa, mia na themanini na wanane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa miji hii vilevile walirudi: wa muji wa Betelehemu na Netofa: mia moja makumi nane na wanane;