Nehemiah 7:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 973;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua), mia tisa sabini na watatu (973);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makuhani; Wana wa Yedaya, wa mbari ya Yeshua, mia kenda sabini na watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 973;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makuhani: wazao wa Yedaya (kupitia familia ya Yeshua) — 973
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makuhani: wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 973
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makuhani; Wana wa Yedaya, wa mbari ya Yeshua, mia tisa sabini na watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 973;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watambikaji walikuwa hawa: wana wa Yedaya wa mlango wa Yesua 973;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makuhani; Wana wa Yedaya, wa mbari ya Yeshua, mia kenda sabini na watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo hesabu ya makuhani waliorudi kutoka katika uhamisho: makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazao wa Yesua: mia tisa makumi saba na watatu;