Nehemiah 7:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walawi wa ukoo wa Yeshua, yaani Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walawi: wazao wa Yeshua (kupitia Kadmieli kupitia jamaa ya Hodavia), sabini na wanne (74).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walawi; Wana wa Yeshua, wa Kadmieli wa wana wa Hodavia, sabini na wanne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walawi wa ukoo wa Yeshua, yaani Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walawi: wazao wa Yeshua (kupitia Kadmieli kupitia ukoo wa Hodavia) — 74
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walawi: wazao wa Yeshua (kupitia Kadmieli kupitia jamaa ya Hodavia) 74
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walawi; Wana wa Yeshua, wa Kadmieli wa wana wa Hodavia, sabini na wanne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walawi wa ukoo wa Yeshua, yaani Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walawi walikuwa hawa: wana wa Yesua wa mlango wa Kadimieli na wana wa Hodawia 74.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walawi; Wana wa Yeshua, wa Kadmieli wa wana wa Hodavia, sabini na wanne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walawi wa ukoo wa Yesua, ni kusema Kadimieli, wazao wa Hodavia waliorudi kutoka katika uhamisho walikuwa makumi saba na wane.