Nehemiah 7:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waimbaji: Wazawa wa Asafu walikuwa 148.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waimbaji: wazao wa Asafu, mia moja arobaini na nane (148).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waimbaji; Wana wa Asafu, mia moja arobaini na wanane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waimbaji: wazawa wa Asafu walikuwa 148.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waimbaji: wazao wa Asafu — 148
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waimbaji: wazao wa Asafu 148
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waimbaji; Wana wa Asafu, mia moja arobaini na wanane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waimbaji: Wazawa wa Asafu walikuwa 148.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waimbaji walikuwa wana wa Asafu 148.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waimbaji; Wana wa Asafu, mia moja arobaini na wanane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waimbaji: wazao wa Asafu walikuwa mia moja makumi ine na wanane.