Nehemiah 7:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walinzi: Wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai, walikuwa 138.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mabawabu wa malango: wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai, mia moja thelathini na nane (138).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walinzi: wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai, walikuwa 138.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mabawabu wa malango: wazao waShalumu, Ateri, Talmoni,Akubu, Hatita na Shobai — 138
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mabawabu wa malango: wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai 138
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walinzi: Wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai, walikuwa 138.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walinda malango walikuwa wana wa Salumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Sobai, watu 138.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mabawabu; Wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, mia moja thelathini na wanane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinzi wa milango walikuwa wazao wa: Salumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita, Sobayi. Walikuwa mia moja makumi tatu na wanane.