Nehemiah 7:46 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Koo za wahudumu hekaluni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Ziha, wa Hasufa, wa Tabaothi;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Koo za wahudumu hekaluni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: ukoo wa Ziha, wa Hasufa, wa Tabaothi;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanethini wa Hekaluni: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Koo za wahudumu hekaluni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Ziha, wa Hasufa, wa Tabaothi;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watumishi wa Nyumbani mwa Mungu walikuwa hawa: wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaoti,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukoo za watumishi wa hekalu waliorudi kutoka katika uhamisho zilikuwa ukoo za: Siha, Hasufa, Tabaoti, Kerosi, Siaha, Padoni, Lebana, Hagaba, Salmai, Hanani, Gideli, Gahari, Reaya, Resini, Nekoda, Gazamu, Uza, Pasea, Besayi, Munimu, Nefusesimu, Bakibuki, Hakufa, Harihuri, Basiliti, Mehida, Harsa, Barkosi, Sisera, Tema, Nezia, Hatifa.