Nehemiah 7:57 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Koo za wazawa wa watumishi wa mfalme Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Sotai, wa Soferethi, wa Perida;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa watumishi wa Sulemani: wazao wa Sotai, Soferethi, Perida,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akina watumwa wa Sulemani; Wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Koo za wazawa wa watumishi wa mfalme Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: ukoo wa Sotai, wa Soferethi, wa Perida;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa watumishi wa Solomoni: wazao wa Sotai, Soferethi, Perida,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa watumishi wa Sulemani: wazao wa Sotai, Soferethi, Perida,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa watumishi wa Sulemani; Wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Koo za wazawa wa watumishi wa mfalme Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Sotai, wa Soferethi, wa Perida;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa watumwa wa Salomo walikuwa hawa: wana wa Sotai, wana wa Sofereti, wana wa Perida,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akina watumwa wa Sulemani; Wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wamoja wa ukoo walichangia kazi ya ujenzi. Mutawala wa jimbo alitoa kilo nane za zahabu, mabeseni makumi tano, nguo mia tano na makumi tatu ya makuhani.