Nehemiah 7:60 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi wahudumu wote wa hekalu na wazawa wa watumishi wa Solomoni, waliorudi kutoka uhamishoni, walikuwa 392.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watumishi wa Hekalu, na wazao wa watumishi wa Sulemani, mia tatu tisini na wawili (392).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanethini wote, pamoja na akina watumwa wa Sulemani, walikuwa mia tatu tisini na wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi wahudumu wote wa hekalu na wazawa wa watumishi wa Solomoni, waliorudi kutoka uhamishoni, walikuwa 392.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanethini wote na wazao wa watumishi wa Solomoni — 392
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Sulemani 392
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanethini wote, pamoja na wana wa watumishi wa Sulemani, walikuwa mia tatu tisini na wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi wahudumu wote wa hekalu na wazawa wa watumishi wa Solomoni, waliorudi kutoka uhamishoni, walikuwa 392.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watumishi wa Nyumbani mwa Mungu na wana wa watumwa wake Salomo wote pamoja walikuwa 392.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanethini wote, pamoja na akina watumwa wa Sulemani, walikuwa mia tatu tisini na wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, makuhani, Walawi, walinzi wa hekalu, waimbaji, pamoja na watu wengine, watumishi wa hekalu na watu wote wa Israeli, wakaishi katika miji yao.