Nehemiah 7:61 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa miji ifuatayo, nao walirudi: Wa Tel-mela, wa Tel-harsha, wa Kerubu, wa Adoni na wa Imeri; ila haikuwezekana kuthibitisha kama walikuwa wazawa wa Waisraeli
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; walakini hawakuweza kuonyesha mbari za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa miji ifuatayo, nao walirudi: wa Tel-mela, wa Tel-harsha, wa Kerubu, wa Adoni na wa Imeri; ila haikuwezekana kuthibitisha kama walikuwa wazawa wa Waisraeli
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafuatao ni watu waliorudi kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamii zao zilitokana na Israeli:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; lakini hawakuweza kuonesha mbari za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa miji ifuatayo, nao walirudi: Wa Tel-mela, wa Tel-harsha, wa Kerubu, wa Adoni na wa Imeri; ila haikuwezekana kuthibitisha kama walikuwa wazawa wa Waisraeli
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hawa ndio waliopanda toka Teli-Mela, Teli-Harsa, Kerubu-Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuijulisha milango ya baba zao, wala vizazi vyao, kama ndio Waisiraeli:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; walakini hawakuweza kuonyesha mbari za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;