Nehemiah 7:62 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: Watu 642.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda, mia sita arobaini na wawili (642).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita na arobaini na wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: watu 642.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wazao waDelaya, Tobia na Nekoda — 642
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda 642
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita na arobaini na wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: Watu 642.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda; nao walikuwa watu 642.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita na arobaini na wawili.