Nehemiah 7:67 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena kulikuwa na watumishi wanaume na wanawake 7,337, nao walikuwa waimbaji wanaume na wanawake, wote 245.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
tena zaidi ya hao walikuwa na watumishi wa kiume na wa kike elfu saba, mia tatu na thelathini na saba (7,337); pia walikuwa na waimbaji wanaume na wanawake mia mbili arobaini na watano (245).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao waume kwa wake, ambao walikuwa elfu saba na mia tatu na thelathini na saba; kisha walikuwa na waimbaji waume kwa wake mia mbili arobaini na watano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena kulikuwa na watumishi wanaume na wanawake 7,337, nao walikuwa waimbaji wanaume na wanawake, wote 245.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwemo waimbaji wanaume na wanawake 245.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 245.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao wanaume kwa wanawake, ambao walikuwa elfu saba na mia tatu na thelathini na saba; kisha walikuwa na waimbaji wanaume kwa wanawake mia mbili arobaini na watano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena kulikuwa na watumishi wanaume na wanawake 7,337, nao walikuwa waimbaji wanaume na wanawake, wote 245.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
pasipo watumwa na vijakazi wao, nao walikuwa 7337; tena walikuwako waimbaji wa kiume na wa kike 245.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao waume kwa wake, ambao walikuwa elfu saba na mia tatu na thelathini na saba; kisha walikuwa na waimbaji waume kwa wake mia mbili arobaini na watano.