Nehemiah 7:71 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadhi ya wakuu wa koo walitoa kilo 168 za dhahabu, na kilo 1,250 za fedha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni elfu ishirini za dhahabu, na mane elfu mbili na mia mbili za fedha kwa ajili ya kazi hiyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baadhi ya wakuu wa mbari za mababa wakatoa, na kutia katika hazina ya kazi hiyo, darkoni za dhahabu ishirini elfu, na mane
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadhi ya wakuu wa koo walitoa kilo 168 za dhahabu, na kilo 1,250 za fedha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi ya wakuu wa mbari walikabidhi kwenye hazina kwa ajili ya kazi darkoni 20,000 za dhahabu na mane 2,200 za fedha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu, na mane 2,200 za fedha kwa ajili ya kazi hiyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baadhi ya wakuu wa mbari za mababa wakatoa, na kutia katika hazina ya kazi hiyo, darkoni za dhahabu elfu ishirini, na mane za fedha elfu mbili na mia mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadhi ya wakuu wa koo walitoa kilo 168 za dhahabu, na kilo 1,250 za fedha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakuu wa milango wengine wakatoa na kutia katika kilimbiko cha jengo: vipande vya dhahabu vilivoitwa Dariko 20000, ndio shilingi kama 800000, na vipande vya fedha vilivyoitwa Mane 2200, ndio shilingi kama 440000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baadhi ya wakuu wa mbari za mababa wakatoa, na kutia katika hazina ya kazi hiyo, darkoni za dhahabu ishirini elfu, na mane za fedha elfu mbili na mia mbili.