Nehemiah 7:72 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matoleo ya watu wengine wote yalikuwa kilo 168 za dhahabu, kilo 140 za fedha na mavazi ya makuhani 67.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni elfu ishirini za dhahabu, mane elfu mbili za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mabaki ya watu wakatoa darkoni za dhahabu ishirini elfu, na mane za fedha elfu mbili, na mavazi ya makuhani sitini na saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matoleo ya watu wengine wote yalikuwa kilo 168 za dhahabu, kilo 140 za fedha na mavazi ya makuhani 67.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha na mavazi sitini na saba ya makuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mabaki ya watu wakatoa darkoni za dhahabu elfu ishirini, na mane za fedha elfu mbili, na mavazi ya makuhani sitini na saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matoleo ya watu wengine wote yalikuwa kilo 168 za dhahabu, kilo 140 za fedha na mavazi ya makuhani 67.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu wengine wakatoa Dariko za dhahabu 20000, ndio shilingi kama 800000, na Mane za fedha 2000, ndio shilingi kama 400000 na mavazi ya watambikaji 67.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mabaki ya watu wakatoa darkoni za dhahabu ishirini elfu, na mane za fedha elfu mbili, na mavazi ya makuhani sitini na saba.