Nehemiah 8:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Walawi wakawatuliza watu wote, wakisema, “Tulieni kwani siku ya leo ni takatifu; msihuzunike.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walawi wakawatuliza watu wote wakisema, “Kuweni watulivu, kwa kuwa hii ni siku takatifu. Msihuzunike.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo Walawi wakawatuliza watu wote, wakasema, Nyamazeni, kwa maana siku hii ni takatifu; wala msihuzunike.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Walawi wakawatuliza watu wote, wakisema, “Tulieni kwani siku ya leo ni takatifu; msihuzunike.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walawi wakawatuliza watu wote wakisema, “Iweni watulivu, kwa kuwa hii ni siku takatifu. Msihuzunike.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walawi wakawatuliza watu wote wakisema, “Kuweni watulivu, kwa kuwa hii ni siku takatifu. Msihuzunike.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo Walawi wakawatuliza watu wote, wakasema, Nyamazeni, kwa maana siku hii ni takatifu; wala msihuzunike.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Walawi wakawatuliza watu wote, wakisema, “Tulieni kwani siku ya leo ni takatifu; msihuzunike.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walawi wakawatuliza watu wote mioyo wakiwaambia: Nyamazeni! Kwani siku hii ni takatifu, kwa hiyo msisikitike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo Walawi wakawatuliza watu wote, wakasema, Nyamazeni, kwa maana siku hii ni takatifu; wala msihuzunike.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, Walawi wakawatuliza watu wote, wakisema: “Munyamaze maana siku ya leo ni takatifu; musihuzunike.”