Nehemiah 8:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakagundua kuwa, imeandikwa katika kitabu cha sheria kuwa Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose, kwamba watu wanapaswa kukaa vibandani wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakakuta imeandikwa katika ile Torati, ambayo Mwenyezi Mungu aliiamuru kupitia kwa Musa, kwamba Waisraeli walipaswa kukaa katika vibanda wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaona ya kuwa imeandikwa katika torati, jinsi Bwana alivyoamuru kwa mkono wa Musa, ya kwamba wana wa Israeli wakae katika vibanda, katika sikukuu ya mwezi wa saba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakagundua kuwa, imeandikwa katika kitabu cha sheria kuwa Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose, kwamba watu wanapaswa kukaa vibandani wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakakuta imeandikwa katika ile Sheria, ambayo BWANA aliiamuru kupitia kwa Mose kwamba Waisraeli wanapaswa kukaa katika vibanda wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakakuta imeandikwa katika ile Torati, ambayo bwana aliiamuru kupitia kwa Musa, kwamba Waisraeli walipaswa kukaa katika vibanda wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaona ya kuwa imeandikwa katika torati, jinsi BWANA alivyoamuru kwa mkono wa Musa, ya kwamba wana wa Israeli wakae katika vibanda, katika sikukuu ya mwezi wa saba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakagundua kuwa, imeandikwa katika kitabu cha sheria kuwa Mwenyezi-Mungu alimwamuru Mose, kwamba watu wanapaswa kukaa vibandani wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaona palipoandikwa katika Maonyo, ya kuwa Bwana alimwagiza Mose kuwaambia wana wa Isiraeli, penye sikukuu ya mwezi wa saba wakae katika vibanda,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaona ya kuwa imeandikwa katika torati, jinsi BWANA alivyoamuru kwa mkono wa Musa, ya kwamba wana wa Israeli wakae katika vibanda, katika sikukuu ya mwezi wa saba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakagundua kwamba, imeandikwa katika kitabu cha Sheria kuwa Yawe alimwamuru Musa, kwamba watu wanapaswa kukaa katika vibanda wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba.