Nehemiah 8:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ezra akasimama kwenye mimbari, mbele ya watu wote, nao wakawa wanamkazia macho yao kwa utulivu mkubwa. Mara tu Ezra alipokifungua kitabu cha sheria, watu wote wakasimama wima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ezra akakifungua kile kitabu. Watu wote waliweza kumwona kwa sababu alikuwa amesimama juu zaidi, naye alipokifungua watu wote wakasimama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ezra akakifunua kitabu machoni pa watu wote; (maana alikuwa juu ya watu wote); na hapo alipokifungua, watu wote walisimama;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ezra akasimama kwenye mimbari, mbele ya watu wote, nao wakawa wanamkazia macho yao kwa utulivu mkubwa. Mara tu Ezra alipokifungua kitabu cha sheria, watu wote wakasimama wima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ezra akakifungua kile kitabu. Watu wote waliweza kumwona kwa sababu alikuwa amesimama juu zaidi, naye alipokifungua watu wote wakasimama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ezra akakifungua kile kitabu. Watu wote waliweza kumwona kwa sababu alikuwa amesimama juu zaidi, naye alipokifungua watu wote wakasimama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ezra akakifunua kitabu machoni pa watu wote; (maana alikuwa juu ya watu wote); na hapo alipokifungua, watu wote walisimama;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ezra akasimama kwenye mimbari, mbele ya watu wote, nao wakawa wanamkazia macho yao kwa utulivu mkubwa. Mara tu Ezra alipokifungua kitabu cha sheria, watu wote wakasimama wima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ezera akakifunua kitabu machoni pao watu wote, kwa kuwa alikuwa juu kuliko watu wote, napo hapo, alipokifunua, watu wote wakainuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ezra akakifunua kitabu machoni pa watu wote; (maana alikuwa juu ya watu wote); na hapo alipokifungua, watu wote walisimama;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ezra akasimama kwenye mimbari mbele ya watu wote, nao wakakuwa wanamukazia macho yao kwa utulivu mukubwa. Mara tu Ezra alipokifungua kitabu cha Sheria, watu wote wakasimama wima.