Nehemiah 8:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ezra akamshukuru Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu na watu wote wakaitikia “Amina! Amina!” Huku wakiwa wameinua mikono yao juu. Kisha wakamsujudia Mungu huku nyuso zao zikigusa ardhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ezra akamsifu Mwenyezi Mungu, Mungu mkuu, nao watu wote wakainua mikono yao na kuitikia, “Amen! Amen!” Kisha wakasujudu na kumwabudu Mwenyezi Mungu, nyuso zao zikigusa chini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ezra akamhimidi Bwana, Mungu Mkuu. Nao watu wote wakaitika, Amina, Amina, pamoja na kuinua mikono yao; kisha wakainama vichwa vyao, wakamsujudu Bwana kifudifudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ezra akamshukuru Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu na watu wote wakaitikia “Amina! Amina!” huku wakiwa wameinua mikono yao juu. Kisha wakamsujudia Mungu huku nyuso zao zikigusa ardhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ezra akamsifu BWANA, Mungu mkuu, nao watu wote wakainua mikono yao na kuitikia, “Amen! Amen!” Kisha wakasujudu na kumwabudu BWANA hali nyuso zao zikigusa ardhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ezra akamsifu bwana, Mungu mkuu, nao watu wote wakainua mikono yao na kuitikia, “Amen! Amen!” Kisha wakasujudu na kumwabudu bwana hali nyuso zao zikigusa ardhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ezra akamhimidi BWANA, Mungu Mkuu. Nao watu wote wakaitika, Amina, Amina, pamoja na kuinua mikono yao; kisha wakainamisha vichwa vyao, wakamsujudu BWANA kifudifudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ezra akamshukuru Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu na watu wote wakaitikia “Amina! Amina!” Huku wakiwa wameinua mikono yao juu. Kisha wakamsujudia Mungu huku nyuso zao zikigusa ardhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ezera akamtukuza Bwana aliye Mungu mkubwa, nao watu wakamwitikia: Amin! Amin! na kuiinua mikono yao; kisha wakainama, wakamwangukia Bwana na kuzielekeza nyuso chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ezra akamhimidi BWANA, Mungu Mkuu. Nao watu wote wakaitika, Amina, Amina, pamoja na kuinua mikono yao; kisha wakainama vichwa vyao, wakamsujudu BWANA kifudifudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ezra akamushukuru Yawe, Mungu mukubwa na watu wote wakaitikia: “Amina! Amina!” nao wakiwa wakiinua mikono yao juu. Kisha wakamwabudu Mungu nazo nyuso zao zikigusa chini.