Nehemiah 9:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchana uliwaongoza kwa mnara wa wingu, na usiku uliwaongoza kwa mnara wa moto ili kuwamulikia njia ya kuendea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchana uliwaongoza kwa nguzo ya wingu, na usiku kwa nguzo ya moto kuwamulikia njia iliyowapasa kuiendea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zaidi ya hayo ukawaongoza kwa nguzo ya wingu mchana; na kwa nguzo ya moto usiku; ili kuwapa mwanga katika njia iliyowapasa kuiendea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchana uliwaongoza kwa mnara wa wingu, na usiku uliwaongoza kwa mnara wa moto ili kuwamulikia njia ya kuendea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchana uliwaongoza kwa nguzo ya wingu na usiku kwa nguzo ya moto kuwamulikia njia iliyowapasa kuiendea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchana uliwaongoza kwa nguzo ya wingu, na usiku kwa nguzo ya moto kuwamulikia njia iliyowapasa kuiendea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zaidi ya hayo ukawaongoza kwa nguzo ya wingu mchana; na kwa nguzo ya moto usiku; ili kuwapa mwanga katika njia iliyowapasa kuiendea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchana uliwaongoza kwa mnara wa wingu, na usiku uliwaongoza kwa mnara wa moto ili kuwamulikia njia ya kuendea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukawaongoza mchana kwa wingu jeusi, tena usiku kwa wingu lenye moto kuwamulikia hiyo njia, waliyoishika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zaidi ya hayo ukawaongoza kwa nguzo ya wingu mchana; na kwa nguzo ya moto usiku; ili kuwapa mwanga katika njia iliyowapasa kuiendea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchana uliwaongoza kwa nguzo la wingu, na usiku uliwaongoza kwa nguzo la moto kwa kuwaangazia njia ya kufuata.