Nehemiah 9:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kule mlimani Sinai ulishuka toka mbinguni na kuzungumza nao. Ukawapa maagizo safi, sheria za kweli, kanuni nzuri na amri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ulishuka katika Mlima Sinai, ukanena nao kutoka mbinguni. Uliwapa masharti ya kweli na haki, na sheria za kweli na haki, na pia amri na maagizo mazuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ulishuka juu ya mlima Sinai, ukasema nao toka mbinguni, ukawapa hukumu za haki, na sheria za kweli, na amri nzuri na maagizo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kule mlimani Sinai ulishuka toka mbinguni na kuzungumza nao. Ukawapa maagizo safi, sheria za kweli, kanuni nzuri na amri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ulishuka katika Mlima Sinai, ukanena nao kutoka mbinguni. Ukawapa masharti na sheria zile ambazo ni za kweli na haki, pia amri na maagizo mazuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ulishuka katika Mlima Sinai, ukanena nao kutoka mbinguni. Uliwapa masharti na sheria zile ambazo ni za kweli na haki, pia amri na maagizo mazuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ulishuka juu ya mlima Sinai, ukasema nao toka mbinguni, ukawapa hukumu za haki, na sheria za kweli, na amri nzuri na maagizo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kule mlimani Sinai ulishuka toka mbinguni na kuzungumza nao. Ukawapa maagizo safi, sheria za kweli, kanuni nzuri na amri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlimani kwa Sinai ulishuka kusema nao toka mbinguni, ukawapa maamuzi yanyokayo na Maonyo ya kweli na maongozi na maagizo mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ulishuka juu ya mlima Sinai, ukasema nao toka mbinguni, ukawapa hukumu za haki, na sheria za kweli, na amri nzuri na maagizo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule kwa mulima Sinai ulishuka toka mbinguni na kuzungumuza nao. Ukawapa maagizo safi, sheria za kweli, masharti mazuri na amri.