Nehemiah 9:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa njia ya Mose, mtumishi wako, ukawajulisha Sabato yako takatifu na ukawaagiza kuzifuata amri, kanuni na sheria ulizowaamrisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliwafahamisha Sabato yako takatifu na ukawapa amri, maagizo na sheria kupitia mtumishi wako Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukawajulisha sabato yako takatifu, na kuwaagiza maagizo, na amri, na sheria, kwa mkono wa mtumishi wako, Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa njia ya Mose, mtumishi wako, ukawajulisha Sabato yako takatifu na ukawaagiza kuzifuata amri, kanuni na sheria ulizowaamrisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukawafahamisha Sabato yako takatifu na ukawapa amri, maagizo na sheria kupitia mtumishi wako Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliwafahamisha Sabato yako takatifu na ukawapa amri, maagizo na sheria kupitia mtumishi wako Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukawajulisha sabato yako takatifu, na ukawapa maagizo, na amri, na sheria, kwa mkono wa mtumishi wako, Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa njia ya Mose, mtumishi wako, ukawajulisha Sabato yako takatifu na ukawaagiza kuzifuata amri, kanuni na sheria ulizowaamrisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukawajulisha siku yako takatifu ya kupumzikia, ukawaagiza magizo na maongozi na maonyo kinywani mwa mtumishi wako Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukawajulisha sabato yako takatifu, na kuwaagiza maagizo, na amri, na sheria, kwa mkono wa mtumishi wako, Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa njia ya Musa, mutumishi wako, ukawajulisha siku zako za Sabato takatifu na ukawaagiza kuzifuata amri, masharti na sheria ulizowaamuru.