Nehemiah 9:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, walikuwa wamejitenga mbali na watu wa mataifa mengine, wakasimama na kuungama dhambi zao na maovu ya babu zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wa uzao wa Israeli walijitenga na wageni wote. Wakasimama mahali pao, na kuungama dhambi zao na uovu wa baba zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliokuwa wa wazao wa Israeli wakajitenga na wageni wote, wakasimama, wakaziungama dhambi zao, na maovu ya baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, walikuwa wamejitenga mbali na watu wa mataifa mengine, wakasimama na kuungama dhambi zao na maovu ya babu zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wa uzao wa Israeli walijitenga na wageni wote. Wakasimama mahali pao na kuungama dhambi zao na uovu wa baba zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wa uzao wa Israeli walijitenga na wageni wote. Wakasimama mahali pao, na kuungama dhambi zao na uovu wa baba zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliokuwa wa wazao wa Israeli wakajitenga na wageni wote, wakasimama, wakaziungama dhambi zao, na maovu ya baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, walikuwa wamejitenga mbali na watu wa mataifa mengine, wakasimama na kuungama dhambi zao na maovu ya babu zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliokuwa wa uzao wa Kiisiraeli wenyewe wakajitenga na wenzao wote wa kabila jingine, kisha wakasimama wakiyaungama makosa yao na maovu, baba zao waliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliokuwa wa wazao wa Israeli wakajitenga na wageni wote, wakasimama, wakaziungama dhambi zao, na maovu ya baba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, walikuwa wamejitenga mbali na watu wa mataifa mengine, wakasimama na kuungama zambi zao na maovu ya babu zao.