Nehemiah 9:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukawapa roho yako njema kuwashauri; ukawapa mana kuwa chakula chao na maji ya kunywa ili kutuliza kiu chao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliwapa Roho wako mwema ili kuwafundisha. Hukuwanyima mana yako vinywani mwao, nawe ukawapa maji kwa ajili ya kiu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukawapa na roho yako mwema ili kuwaelimisha, wala hukuwanyima mana vinywani mwao, tena ukawapa maji kwa ajili ya kiu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukawapa roho yako njema kuwashauri; ukawapa mana kuwa chakula chao na maji ya kunywa ili kutuliza kiu chao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukawapa Roho wako mwema ili kuwafundisha. Hukuwanyima mana yako vinywani mwao, nawe ukawapa maji kwa ajili ya kiu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliwapa Roho wako mwema ili kuwafundisha. Hukuwanyima mana yako vinywani mwao, nawe ukawapa maji kwa ajili ya kiu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukawapa na roho yako mwema ili kuwaelimisha, wala hukuwanyima mana vinywani mwao, tena ukawapa maji kwa ajili ya kiu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukawapa roho yako njema kuwashauri; ukawapa mana kuwa chakula chao na maji ya kunywa ili kutuliza kiu chao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukawapa nayo roho yako njema ya kuwaerevusha, tena hukuwanyima Mana zako vinywani mwao, ukawapa nayo maji ya kuzikomesha kiu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukawapa na roho yako mwema ili kuwaelimisha, wala hukuwanyima mana vinywani mwao, tena ukawapa maji kwa ajili ya kiu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukawapa Roho wako mwema kuwashauria; ukawapa mana kuwa chakula chao, na maji ya kunywa kwa kutuliza kiu chao.