Nehemiah 9:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukawatunza jangwani kwa miaka arubaini na hawakukosa chochote; mavazi yao hayakuchakaa wala nyayo zao hazikuvimba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa miaka arobaini uliwatunza jangwani. Hawakukosa chochote, na nguo zao hazikuchakaa wala miguu yao haikuvimba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, muda wa miaka arobaini uliwaruzuku jangwani, wasihitaji kitu; nguo zao hazikuchakaa, wala miguu yao haikuvimba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukawatunza jangwani kwa miaka arubaini na hawakukosa chochote; mavazi yao hayakuchakaa wala nyayo zao hazikuvimba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa miaka arobaini uliwatunza jangwani, hawakukosa cho chote, nguo zao hazikuchakaa wala miguu yao haikuvimba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa miaka arobaini uliwatunza jangwani. Hawakukosa chochote, na nguo zao hazikuchakaa wala miguu yao haikuvimba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, muda wa miaka arobaini uliwaruzuku jangwani, wasihitaji kitu; nguo zao hazikuchakaa, wala miguu yao haikuvimba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukawatunza jangwani kwa miaka arubaini na hawakukosa chochote; mavazi yao hayakuchakaa wala nyayo zao hazikuvimba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukawatunza vema miaka arobaini njiani, wasikose kitu; mavazi yao hayakuchakaa, wala miguu yao haikuvimba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, muda wa miaka arobaini uliwaruzuku jangwani, wasihitaji kitu; nguo zao hazikuchakaa, wala miguu yao haikuvimba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukawatunza katika jangwa kwa miaka makumi ine na hawakukosa kitu chochote; nguo zao hazikuchakaa wala miguu yao haikuvimba.