Nehemiah 9:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukawavumilia kwa miaka mingi, na kuwaonya kwa njia ya roho yako kwa kupitia manabii wako; hata hivyo hawakusikiliza. Basi ukawaacha ukawatia mikononi mwa mataifa mengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa miaka mingi ulikuwa mvumilivu kwao na kwa Roho wako ukawaonya kupitia manabii wako. Hata hivyo hawakujali, basi ukawatia mikononi mwa mataifa jirani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini miaka mingi ukachukuliana nao, nawe ukawashuhudia kwa roho yako kwa vinywa vya manabii wako; wao wasitake kusikiliza; kwa hiyo ukawatia katika mikono ya watu wa nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukawavumilia kwa miaka mingi, na kuwaonya kwa njia ya roho yako kwa kupitia manabii wako; hata hivyo hawakusikiliza. Basi ukawaacha ukawatia mikononi mwa mataifa mengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa miaka mingi ulikuwa mvumilivu kwao. Kwa njia ya Roho wako ukawaonya kupitia manabii wako. Hata hivyo hawakujali, basi ukawatia mikononi mwa mataifa jirani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa miaka mingi ulikuwa mvumilivu kwao. Kwa njia ya Roho wako ukawaonya kupitia manabii wako. Hata hivyo hawakujali, basi ukawatia mikononi mwa mataifa jirani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini miaka mingi ukachukuliana nao, nawe ukawashuhudia kwa roho yako kwa vinywa vya manabii wako; wao wasitake kusikiliza; kwa hiyo ukawatia katika mikono ya watu wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukawavumilia kwa miaka mingi, na kuwaonya kwa njia ya roho yako kwa kupitia manabii wako; hata hivyo hawakusikiliza. Basi ukawaacha ukawatia mikononi mwa mataifa mengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe ukawavumilia miaka mingi, ukawaumbua kwa ushuhuda wa Roho yako iliyowatokea vinywani mwa wafumbuaji wako, lakini hawakusikiliza; ndipo, ulipowatia mikononi mwao makabila ya nchi hizi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini miaka mingi ukachukuliana nao, nawe ukawashuhudia kwa roho yako kwa vinywa vya manabii wako; wao wasitake kusikiliza; kwa hiyo ukawatia katika mikono ya watu wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukawavumilia kwa miaka mingi, na kuwaonya kwa njia ya roho wako kwa kupitia manabii wako; hata hivyo hawakusikiliza. Basi ukawaacha ukawatia katika mikono ya mataifa mengine.