Nehemiah 9:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, ee Mungu wetu, Mungu Mkuu, mwenye nguvu na wa kutisha, wewe unalishika agano lako na una fadhili nyingi. Mateso yaliyotupata, sisi, wafalme wetu, wakuu wetu, makuhani wetu, manabii wetu, babu zetu na watu wako wote tangu wakati wa wafalme wa Ashuru mpaka leo, usiyaone kuwa ni madogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Basi sasa, Ee Mungu wetu, uliye mkuu, mwenye nguvu na Mungu wa kuogofya, mwenye kushika agano lake la upendo, usiache taabu hizi zote zionekane kuwa kitu kidogo mbele za macho yako, taabu hizi zilizotupata, juu ya wafalme wetu na viongozi, juu ya makuhani wetu na manabii, juu ya baba zetu na watu wako wote, tangu siku za wafalme wa Ashuru hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, Ee Mungu, mkuu, mwenye uweza, Mungu wa kuogofya, mwenye kushika maagano na rehema, mashaka yote yaliyotupata sisi, wafalme wetu, na wakuu wetu, na makuhani wetu, na manabii wetu, na baba zetu, na watu wako wote, tangu zamani za wafalme wa Ashuru hata leo, na yasihesabiwe kuwa ni madogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, ee Mungu wetu, Mungu Mkuu, mwenye nguvu na wa kutisha, wewe unalishika agano lako na una fadhili nyingi. Mateso yaliyotupata, sisi, wafalme wetu, wakuu wetu, makuhani wetu, manabii wetu, babu zetu na watu wako wote tangu wakati wa wafalme wa Ashuru mpaka leo, usiyaone kuwa ni madogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Basi sasa, Ee Mungu wetu, uliye mkuu, mwenye nguvu na Mungu wa kuogofya, mwenye kushika Agano lake la upendo, usiache taabu hizi zote zionekane ni kitu kidogo mbele za macho yako, taabu hizi zilizotupata, juu ya wafalme wetu na viongozi, juu ya makuhani wetu na manabii, juu ya baba zetu na watu wako wote, tangu siku za wafalme wa Ashuru hadi leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Basi sasa, Ee Mungu wetu, uliye mkuu, mwenye nguvu na Mungu wa kuogofya, mwenye kushika agano lake la upendo, usiache taabu hizi zote zionekane kuwa kitu kidogo mbele za macho yako, taabu hizi zilizotupata, juu ya wafalme wetu na viongozi, juu ya makuhani wetu na manabii, juu ya baba zetu na watu wako wote, tangu siku za wafalme wa Ashuru hadi leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, Ee Mungu, mkuu, mwenye uweza, Mungu wa kuogofya, mwenye kushika maagano na rehema, mashaka yote yaliyotupata sisi, wafalme wetu, na wakuu wetu, na makuhani wetu, na manabii wetu, na baba zetu, na watu wako wote, tangu zamani za wafalme wa Ashuru hata leo, na yasihesabiwe kuwa ni madogo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, ee Mungu wetu, Mungu Mkuu, mwenye nguvu na wa kutisha, wewe unalishika agano lako na una fadhili nyingi. Mateso yaliyotupata, sisi, wafalme wetu, wakuu wetu, makuhani wetu, manabii wetu, babu zetu na watu wako wote tangu wakati wa wafalme wa Ashuru mpaka leo, usiyaone kuwa ni madogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa Mungu wetu uliye Mungu mkuu mwenye uwezo wa kutia woga, unashika maagano ya upole! Yasiwe madogo mbele yako masumbuko yote yaliyotupata sisi, wafalme wetu na wakuu wetu na watambikaji wetu na wafumbuaji wetu na baba zetu nao wote walio ukoo wako tangu hapo, wafalme wa Asuri walipotujia hata siku hii ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, Ee Mungu, mkuu, mwenye uweza, Mungu wa kuogofya, mwenye kushika maagano na rehema, mashaka yote yaliyotupata sisi, wafalme wetu, na wakuu wetu, na makuhani wetu, na manabii wetu, na baba zetu, na watu wako wote, tangu zamani za wafalme wa Ashuru hata leo, na yasihesabiwe kuwa ni madogo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, ee Mungu wetu, Mungu mukubwa, mwenye nguvu na wa kutisha, wewe unashika agano lako na kutenda wema. Mateso yaliyotupata, sisi, wafalme wetu, wakubwa wetu, makuhani wetu, manabii wetu, babu zetu na watu wako wote tangu wakati wa wafalme wa Asuria mpaka leo, usiyaone kuwa ni madogo.