Nehemiah 9:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafalme wetu, wakuu wetu, makuhani wetu na babu zetu hawajaishika sheria yako wala kujali amri yako na maonyo yako uliyowapa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafalme wetu, viongozi wetu, makuhani wetu na baba zetu hawakufuata sheria yako. Hawakuzingatia amri zako wala maonyo uliyowapa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wafalme wetu, na wakuu wetu, na makuhani wetu, na baba zetu, hawakuishika sheria yako, wala hawakuzisikiliza amri zako na shuhuda zako, ulizowashuhudia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafalme wetu, wakuu wetu, makuhani wetu na babu zetu hawajaishika sheria yako wala kujali amri yako na maonyo yako uliyowapa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafalme wetu, viongozi wetu, makuhani wetu na baba zetu hawakufuata sheria yako, hawakuzingatia amri zako wala maonyo uliyowapa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafalme wetu, viongozi wetu, makuhani wetu na baba zetu hawakufuata sheria yako. Hawakuzingatia amri zako wala maonyo uliyowapa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wafalme wetu, na wakuu wetu, na makuhani wetu, na baba zetu, hawakuishika sheria yako, wala hawakuzisikiliza amri zako na shuhuda zako, ulizowashuhudia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafalme wetu, wakuu wetu, makuhani wetu na babu zetu hawajaishika sheria yako wala kujali amri yako na maonyo yako uliyowapa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wafalme wetu na wakuu wetu na watambikaji wetu na baba zetu hawakuyafanya Maonyo yako, masikio yao hawakuyategea maagizo yako wala ushuhuda wako, uliowashuhudia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wafalme wetu, na wakuu wetu, na makuhani wetu, na baba zetu, hawakuishika sheria yako, wala hawakuzisikiliza amri zako na shuhuda zako, ulizowashuhudia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafalme wetu, wakubwa wetu, makuhani wetu na babu zetu hawakushika Sheria yako wala kujali amri zako na maonyo yako uliyowapa.