Nehemiah 9:38 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na haya yote yaliyotokea, sisi tunaweka agano imara na wakuu wetu kwa maandishi; Walawi na makuhani wanatia sahihi zao na mhuri wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa sababu ya haya yote, tunajifunga katika mapatano, na kuyaandika, nao viongozi wetu, Walawi wetu na makuhani wetu wanatia mihuri yao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa sababu ya hayo yote sisi twafanya agano la hakika, na kuliandika; na wakuu wetu, na Walawi wetu, na makuhani wetu, wanalitilia muhuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na haya yote yaliyotokea, sisi tunaweka agano imara na wakuu wetu kwa maandishi; Walawi na makuhani wanatia sahihi zao na mhuri wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa sababu ya haya yote, tunajifunga katika mapatano, maandishi, pamoja na viongozi wetu, Walawi wetu na makuhani wetu wakitia mihuri yao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa sababu ya haya yote, tunajifunga katika mapatano, na kuyaandika, nao viongozi wetu, Walawi wetu na makuhani wetu wanatia mihuri yao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa sababu ya hayo yote sisi tunafanya agano la hakika, na kuliandika; na wakuu wetu, na Walawi wetu, na makuhani wetu, wanalitilia mhuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na haya yote yaliyotokea, sisi tunaweka agano imara na wakuu wetu kwa maandishi; Walawi na makuhani wanatia sahihi zao na mhuri wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili ya haya yote sisi tunafanya agano la kweli, tunaliandika na kulitia muhuri ya wakubwa wetu na ya Walawi wetu na ya watambikaji wetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa sababu ya hayo yote sisi twafanya agano la hakika, na kuliandika; na wakuu wetu, na Walawi wetu, na makuhani wetu, wanalitilia muhuri.