Nehemiah 9:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ndiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu uliyemchagua Abramu, ukamtoa toka Uri ya Wakaldayo na kumpa jina Abrahamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wewe ni Bwana Mwenyezi Mungu uliyemchagua Abramu na kumtoa kutoka Uru ya Wakaldayo, nawe ukamwita Ibrahimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe ndiwe Bwana, Mungu, uliyemchagua Abramu, na kumtoa katika Uri wa Wakaldayo, na kumpa jina la Ibrahimu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ndiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu uliyemchagua Abramu, ukamtoa toka Uri ya Wakaldayo na kumpa jina Abrahamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wewe ni BWANA Mungu uliyemchagua Abramu na kumtoa kutoka Uri ya Wakaldayo, nawe ukamwita Abrahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wewe ni bwana Mwenyezi Mungu uliyemchagua Abramu na kumtoa kutoka Uru ya Wakaldayo, nawe ukamwita Ibrahimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe ndiwe BWANA, Mungu, uliyemchagua Abramu, na kumtoa katika Uri wa Wakaldayo, na kumpa jina la Abrahamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ndiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu uliyemchagua Abramu, ukamtoa toka Uri ya Wakaldayo na kumpa jina Abrahamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu, wewe ndiwe uliyemchagua Aburamu, ukamtoa Uri kwao Wakasidi, ukampa jina la Aburahamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe ndiwe BWANA, Mungu, uliyemchagua Abramu, na kumtoa katika Uri wa Wakaldayo, na kumpa jina la Ibrahimu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ndiwe Yawe, Mungu uliyemuchagua Abramu. Ukamutoa toka Uri ya Wakaldea na kumupa jina la Abrahamu.