Nehemiah 9:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukamwona kuwa yu mwadilifu mbele yako; ukafanya agano naye kuwapa wazawa wake nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wayebusi na Wagirgashi. Na ahadi yako ukaitimiza; kwani wewe u mwaminifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliona kuwa moyo wake ni mwaminifu kwako, nawe ukafanya agano naye kuwapa wazao wake nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wayebusi na Wagirgashi. Umetimiza ahadi yako kwa sababu wewe ni mwenye haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe ukauona moyo wake kuwa mwaminifu mbele zako, ukafanya agano naye, kumpa nchi ya Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Myebusi, na Mgirgashi, naam, kuwapa wazao wake; nawe umeyafikiliza maneno yako, kwa kuwa ndiwe mwenye haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukamwona kuwa yu mwadilifu mbele yako; ukafanya agano naye kuwapa wazawa wake nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wayebusi na Wagirgashi. Na ahadi yako ukaitimiza; kwani wewe u mwaminifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliona kuwa moyo wake ni mwaminifu kwako, nawe ukafanya Agano naye kuwapa wazao wake nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wayebusi na Wagirgashi. Umetimiza ahadi yako kwa sababu wewe ni mwenye haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliona kuwa moyo wake ni mwaminifu kwako, nawe ukafanya Agano naye kuwapa wazao wake nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wayebusi na Wagirgashi. Umetimiza ahadi yako kwa sababu wewe ni mwenye haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe ukauona moyo wake kuwa mwaminifu mbele zako, ukafanya agano naye, kumpa nchi ya Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Myebusi, na Mgirgashi, naam, kuwapa wazao wake; nawe umetimiza ahadi yako kwani u mwenye haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukamwona kuwa yu mwadilifu mbele yako; ukafanya agano naye kuwapa wazawa wake nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wayebusi na Wagirgashi. Na ahadi yako ukaitimiza; kwani wewe u mwaminifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulipouona moyo wake kuwa mwelekevu mbele yako, ukafanya agano naye la kumpa nchi za Wakanaani na za Wahiti na za Waamori na za Waperizi na za Wayebusi na za Wagirgasi, uwape wao wa uzao wake, ukalitimiza neno lako, kwani wewe ndiwe mwongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe ukauona moyo wake kuwa mwaminifu mbele zako, ukafanya agano naye, kumpa nchi ya Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Myebusi, na Mgirgashi, naam, kuwapa wazao wake; nawe umeyafikiliza maneno yako, kwa kuwa ndiwe mwenye haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukamwona kuwa wa haki mbele yako; ukafanya agano naye kuwapa wazao wake inchi ya Wakanana, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wayebusi na Wagirgasi. Na ahadi yako ukaitimiza; maana wewe ni mwaminifu.