Numbers 1:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Efraimu: Elishama mwana wa Amihudi; Kabila la Manase: Gamalieli mwana wa Pedasuri;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kutoka wana wa Yusufu: kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Efraimu: Elishama mwana wa Amihudi; Kabila la Manase: Gamalieli mwana wa Pedasuri;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kutoka wana wa Yosefu: kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kutoka wana wa Yusufu: kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Efraimu: Elishama mwana wa Amihudi; Kabila la Manase: Gamalieli mwana wa Pedasuri;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa wana wa Yosefu: wa Efuraimu Elisama, mwana wa Amihudi, wa Manase Gamulieli, mwana wa Pedasuri;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kila kabila la Israeli, walihesabu watu kulingana na jamaa zao na ukoo zao. Waliandika majina ya kila mwanaume aliyekuwa na umri wa miaka makumi mbili na zaidi, aliyefaa kuingia katika jeshi. Hii ni hesabu yao kulingana na kabila yao. Kabila la Rubeni, muzaliwa wa kwanza wa Israeli: elfu makumi ine na sita na mia tano. Kabila la Simeoni: elfu makumi tano na tisa na mia tatu. Kabila la Gadi: elfu makumi ine na tano mia sita na makumi tano. Kabila la Yuda: elfu makumi saba na ine na mia sita. Kabila la Isakari: elfu makumi tano na ine na mia ine. Kabila la Zebuluni: elfu makumi tano na saba mia ine. Kabila la Efuraimu: elfu makumi ine na mia tano. Kabila la Manase: elfu makumi tatu na mbili na mia mbili. Kabila la Benjamina: elfu makumi tatu na tano na mia ine. Kabila la Dani: elfu makumi sita na mbili na mia saba. Kabila la Aseri: elfu makumi ine na mumoja na mia tano. Kabila la Nafutali: elfu makumi tano na tatu na mia nane.