Numbers 1:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Benyamini: Abidani mwana wa Gideoni;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa Benyamini Abidani mwana wa Gideoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Benyamini: Abidani mwana wa Gideoni;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa Benyamini Abidani mwana wa Gideoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Benyamini: Abidani mwana wa Gideoni;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa Benyamini Abidani, mwana wa Gideoni;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa Benyamini Abidani mwana wa Gideoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao ndio watu waliokuwa wamehesabiwa ambao Musa na Haruni waliwahesabu wakisaidiwa na wale viongozi kumi na wawili wa Israeli, kila kiongozi akisimamia ukoo wake. 45Hivyo jumla ya wanaume wote wa Israeli wenye umri kuanzia miaka makumi mbili na zaidi, waliofaa kuingia katika jeshi katika inchi ya Israeli, 46ilikuwa watu elfu mia sita na tatu na mia tano makumi tano. 47Lakini Walawi hawakuhesabiwa pamoja na yale makabila mengine, 48kwa sababu Yawe alimwambia Musa: 49Usifanye hesabu ya kabila la Lawi pamoja na ile ya watu wa Israeli. 50Utawachagua wakuwe waangalizi wa hema la kuchunga vibao vya agano, vyombo vyake vyote na kila kitu kinachokuwa ndani yake; watakuwa wakilibeba pamoja na vyombo vyake vyote. Watatumika mule ndani na watapiga kambi yao kwa kulizunguka. 51Tena wakati wa hema kuongolewa, Walawi ndio watakaoliongoa. Na wakati wa hema kusimikwa, Walawi ndio watakaolisimamisha. Kama mutu ambaye si Mulawi analikaribia, atauawa. 52Waisraeli wengine wote watapiga kambi zao makundi makundi, kila mutu katika kundi lake na chini ya bendera yake. 53Lakini Walawi watapiga kambi zao kuzunguka hema la kuchunga vibao vya agano kusudi walilinde na kasirani yangu isiwake juu ya Waisraeli. 54Kwa hiyo Waisraeli wakafanya kama vile Yawe alivyomwamuru Musa.