Numbers 1:17 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose na Aroni wakawachukua watu hawa waliotajwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa na Haruni wakawachukua wanaume hao waliokuwa wamepewa majina yao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa na Haruni wakawatwaa hao watu waume waliotajwa majina yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose na Aroni wakawachukua watu hawa waliotajwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose na Aroni wakawachukuwa wanaume hao ambao walikuwa wamepewa majina yao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa na Haruni wakawachukua wanaume hao waliokuwa wamepewa majina yao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa na Haruni wakawatwaa watu hao, wanaume waliotajwa majina yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose na Aroni wakawachukua watu hawa waliotajwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose na Haroni wakawachukua watu hawa waliotajwa majina yao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa na Haruni wakawatwaa hao watu waume waliotajwa majina yao;