Numbers 1:19 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Mose akawahesabu watu hawa kule jangwani Sinai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa. Hivyo aliwahesabu katika Jangwa la Sinai:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama Bwana alivyomwagiza Musa, ndivyo alivyowahesabu huko katika bara ya Sinai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Mose akawahesabu watu hawa kule jangwani Sinai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama BWANA alivyomwagiza Mose. Hivyo aliwahesabu katika Jangwa la Sinai:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama bwana alivyomwagiza Musa. Hivyo aliwahesabu katika Jangwa la Sinai:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama BWANA alivyomwagiza Musa, ndivyo alivyowahesabu huko katika jangwa la Sinai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Mose akawahesabu watu hawa kule jangwani Sinai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama Bwana alivyomwagiza Mose, ndivyo, alivyowakagua nyikani kwa Sinai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama BWANA alivyomwagiza Musa, ndivyo alivyowahesabu huko katika bara ya Sinai.